Madege yanchi shirika zilizopigana vita dhidi ya Ujerumani ya wanazi yaliuteketeza mji wa Dresden muda mfupi kabla ya vita vikuu vya pili kumalizika mwaka 1945.
Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa Afrika Mashariki linalojumuisha wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu kutoka mataifa 195 wanachama wa Umoja wa Mataifa limefunguliwa leo hapa Nairobi.
Ugiriki imesema bado inakabiliwa na changamoto kubwa kushawishi Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha Ulimwenguni, IMF, kuipatia mkopo mwingine wa kunusuru uchumi wake na kitisho cha kufilisika.
Mkuu wa kamisheni ya kutetea haki za binaadam wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay amemshutumu rais wa Syria Bashar Al Assad kwa kuanzisha mashambulizi makali dhidi ya upinzani unaodai demokrasia.
Jumuia ya kimataifa imelaani vikali mauwaji ya kinyama yaliyofanywa na waasi wa Touareg kaskazini mwa jamhuri ya Mali.Mapigano katika eneo hilo yamepelekea maelfu ya watu kuyapa kisogo maskani yao.
13.02 ni siku ya kukumbuka jinsi mji wa Dresden ulivyoshambuliwa mwaka 1945.Tarehe hiyo inatumiwa na wanazi tangu mwishoni mwa miaka ya 90 kueneza propaganda zao.Wananchi walio wengi wanaipinga tathmini yao .
Bunge la Ugiriki limeidhinisha hatua kali za kupunguza matumizi ya serikali katika juhudi ya kudhibiti uchumi wake unaoelekea kuporomoka.
Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa
Ni shida kwa mwanaadamu anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio ya kawaida, kuamini kwamba anaweza mara moja kujikuta akiwa ameanguka chini akiwa amepoteza kila kitu maishani, akiwa katikati ya mateso na idhilali.
Tembelea DW katika Facebook
Tembelea DW katika Twitter
Pata huduma zetu kupitia za SMS, RSS, Kijarida na huduma nyengine za mtandaoni kutoka DW.