Mapigano mapya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, kati ya Jeshi la Kongo na waasi wa M23, yamesababisha uhamaji mkubwa katika siku za karibuni na kuchochea hali ngumu ya kiutu.
Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi: kiswahili@dw.com
Mahojiano ya moja kwa moja ya kila wiki na masuali magumu kwa mmoja wa watu muhimu kuhusu jambo muhimu lililotokea katika mataifa ya Afrika ya Mashariki na Kati.