1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DR Congo yapata Waziri Mkuu Mwanamke

Zainab Aziz
5 Aprili 2024

Rais Felix Tshisekedi, amemteua Judith Suminwa Tuluka, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Bi Tuluka ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Kongo. Jee Judith Suminwa Tuluka, ni nani hasa? Wataalamu wetu wamelijibu swali hilo pamoja na mengi mengineyo. Mwenyekiti ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4eSnT