1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 30 tangu mauaji ya Kimbari ya Rwanda

15 Aprili 2024

Rashid Chilumba anaongoza kipindi cha Maoni mbele ya meza duara kutoka Bonn kujadili miaka 30 tangu kutokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda. Wachangiaji wanatathmini iwapo taifa hilo dogo la Afrika ya Kati limesonga mbele kikamilifu baada ya kuvuka kivuli cha mauaji mwaka 1994.

https://p.dw.com/p/4ejCR