1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Ya Asubuhi: 12.07.2023

12 Julai 2023

Urusi yasema msaada zaidi wa silaha wa NATO kwa Ukraine kunavileta karibu mno Vita vya tatu vya dunia. Wahamiaji 500 wa kiafrika warejeshwa Tunisia baada ya kufurushwa na kupelekwa eneo hatari la mpakani. Korea Kaskazini yafyetua kombora la masafa marefu kuelekea Bahari ya Japan.

https://p.dw.com/p/4Tkdu