1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya Kombe la Dunia la Wanawake

Bruce Amani
20 Julai 2023

Mashindano ya Kombe la kwanza la Dunia kwa Wanawake yalifanyika China mwaka wa 1991. Mchezo huo wa wanawake ulipigwa marufuku katika nchi nyingi, ikiwemo Ujerumani. Marekani ndiyo timu yenye mafanikio makubwa katika historia ya Kombe la Dunia la Wanawake.

https://p.dw.com/p/4UBhR