1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CIA

Shirika la ujasusi CIA ni idara ya upelelezi wa nje ya serikali ya Marekani. Inajikita katika ujasusi wa nje, ikikusanya na kuchambua taarifa za kiusalama.