You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
05.05.2024
5 Mei 2024
Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Kenya yafikia watu 228
04.05.2024
4 Mei 2024
Upepo mkali na mvua kubwa yashuhudiwa pwani ya Tanzania
03.05.2024
3 Mei 2024
Kenya, Tanzania zakabiliwa na kimbunga Hidaya
02.05.2024
2 Mei 2024
Watu 48 wafariki baada ya barabara kuporomoka China
30.04.2024
30 Aprili 2024
Zaidi ya watu 140 wafa kwa radi, dhoruba Pakistan
28.04.2024
28 Aprili 2024
Bangladesh yakabiliwa na wimbi la joto kali
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Mashaka ya Kimbunga Hidaya kwa Wakenya
Mashaka ya Kimbunga Hidaya kwa Wakenya
Mashaka ya athari za Kimbunga Hidaya katika maeneo mengi ya Pwani ya Kenya
Ujerumani imevuka kiwango chake cha ikolojia kwa mwaka
Ujerumani imevuka kiwango chake cha ikolojia kwa mwaka
Tayari Ujerumani imeshavuka viwango vyake vya mwaka vya matumizi ya rasilimali za kiikolojia kwa mwaka.
Ruto aahidi kuhamishwa wananchi ambao wamekumbwa na mafuriko
Ruto aahidi kuhamishwa wananchi ambao wamekumbwa na mafuriko
Akiwa Mai Mahiu ambapo zaidi ya watu 170 walikufa, Rais Ruto amesema wanajeshi watahusika kwenye shughuli za uokozi.
Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri wafanyakazi duniani
Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa, ILO laonya juu ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa wafanyakazi ulimwenguni.
Mazungumzo ya uchafuzi wa plastiki yapiga hatua
Mazungumzo ya uchafuzi wa plastiki yapiga hatua
Mazungumzo ya uchafuzi wa plastiki yapiga hatua karibu kufikia makubaliano ya kwanza.
Msalaba Mwekundu waongoza juhudi za uokoaji mafuriko Kenya
Msalaba Mwekundu waongoza juhudi za uokoaji mafuriko Kenya
Msikilize Felix Maiyoo wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Kenya kuhusu juhudi za uokoaji baada ya janga la mafuriko.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.
Wakulima wakabiliwa na ukame Kusini mwa Jangwa la Sahara
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema mataifa mengi yanakabiliwa na viwango sawa vya ugumu wa maisha.
Je, ni nini maana ya upotoshaji kuhusu tabia nchi?
Habari potofu na uwongo pia huchapishwa na baadhi ya vyombo vya habari au kusambazwa na wanasiasa wanaopenda umaarufu.
Umoja wa Mataifa mbioni kutafuta makubaliano ya Dubai
Nchi zinazozalisha mafuta zinapinga wito wa kihistoria wa ulimwengu kuondokana na nishati ya visukuku.
Nchi za Ghuba zimejiandaaje baada ya biashara ya mafuta?
Nchi za Ghuba zina mpango kabambe wa nishati endelevu lakini mataifa hayo yamejipangaje baada ya biashara ya mafuta?
Wadau wajadili kilimo cha kulinda mazingira mjini Kampala
Mkutano huo umeandaliwa na Mtandao wa Fair Trade ulio na mataifa 29 wanachama kanda ya Afrika na Mashariki ya kati.