1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

WHO: Hakuna tena Ebola Uganda

11 Januari 2023

Hatimaye Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Ebola Uganda baada ya miezi minne ya wasiwasi miongoni mwa raia wa nchi hiyo na mataifa jirani ya Afrika Mashariki. Hadi watu 55 akiwemo daktari mmoja kutoka Tanzania walifariki kutokana na ugonjwa huo ambao matibabu yake bado ni changamoto kwa wataalamu wa afya na wanasayansi. Msikiize Lubega Emmanuel..

https://p.dw.com/p/4M1Pu