Ni miongo sita tangu kuanzishwa kwa Idhaa ya Kiswahili ya DW, ajenda ya kijana imekuwa na kipaumbele na jukwaa la msichana jasiri limekuwa ni jukwaa la vijana wa kike kuzungumzia changamoto zao na hata harakati wanazozifanya ili kuleta jamii yenye usawa. Haya ndio mafanikio yake.