1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaUganda

Muhula wa shule Uganda wafupishwa kutokana na Ebola

Lubega Emmanuel8 Novemba 2022

Mlipuko wa Ebola umeilazimu serikali Uganda kuamua kufunga shule zote za msingi na sekondari wiki mbili mapema kabla ya kumalizika kwa muhula wa masomo. Wizara ya elimu imetangaza kuwa kufuatia ushauri wa wizara ya afya kutokana na kasi ya maambukizi, ni vyema masomo yasitishwe kuokoa maisha ya wanafunzi.

https://p.dw.com/p/4JDbw