1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano dhidi ya mauaji ya albino

24 Septemba 2009

Mwezi Machi DW inakuletea mfululizo wa vipindi na makala kuhusu visa vya kuuliwa kwa albino na juhudi za kuwalinda watu hao wenye ulemavu wa ngozi. Soma, sikiliza na tazama ufahamu mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/JoG5
Wanachama wa chama cha Albino TanzaniaPicha: Privat

Nchini Tanzania mauaji ya watu walio na ulemavu wa ngozi au albino yameripotiwa kuzidi kuongezeka. Wanasiasa, wasanii na wanajamii sasa wanaungana kuelimisha kuhusu mila hii potofu na kuhakikisha kuwa watu hawa wanalindwa.

Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi

Ripoti na uchambuzi