1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNigeria

MAONI: Nigeria Kwenye Muelekeo Mpya

Khelef Mohammed2 Juni 2023

Mada Mbele ya Meza ya Duara ni kuhusu Nigeria ambayo imeanza enzi nyengine ya utawala wa kiraia kufuatia kuapishwa kwa Bola Ahmed Tinubu kuchukuwa nafasi ya Muhammadu Buhari. Je, kipi anaweza kukifanikisha Tinubu ambacho kilishindikana mikononi mwa Buhari aliyetawala kwa mihula miwili mfululizo? Nahodha wa kipindi ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4S6KD