1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaLibya

Kwanini Libya imeshindwa kuitafutia ufumbuzi mivutano?

Saumu Mwasimba
23 Agosti 2023

Umoja wa Mataifa unatiwa mashaka na hali ya uthabiti wa Libya baada ya hivi karibuni kuzuka tena upya mapigano kati ya makundi mawili ya wanamgambo mjini Tripoli. DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa aliyeko Tehran AbdulFatah Musah.

https://p.dw.com/p/4VVcM