1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sturgeon awashangaza wafuatiliaji wa siasa za Uingereza

15 Februari 2023

Waziri kiongozi wa Scotland Nicola Sturgeon ametangaza nia yake ya kujiuzulu wadhifa huo baada ya miaka minane uongozini. Je nini kilichomsukuma kuachia ngazi? Rashid Chilumba amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London.

https://p.dw.com/p/4NX7P