1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoIvory Coast

Ivory Coast wafalme wa kandanda barani Afrika

Babu Abdalla12 Februari 2024

Sebastian Haller alifunga bao la ushindi katika dakika ya 81 ya mchezo na kuisaidia timu yake kuibwaga Nigeria katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON iliyochezwa katika uwanja wa Alassane Ouattara mbele ya mashabiki 57,094.

https://p.dw.com/p/4cK1p