1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Girona, Barca wapoteza nafasi za kuisogelea Madrid

4 Machi 2024

Jumapili Girona na Barcelona walipoteza nafasi ya kupunguza mwanya uliopo kati yao na vinara Real Madrid waliolazimishwa sare ya 2-2 na Valencia Jumamosi.

https://p.dw.com/p/4d9Iv
Spanien Barcelona 2024 | Ilkay Gündogan im Einsatz bei LaLiga-Spiel
Mchezaji wa Barcelona IIkay GundoganPicha: Jose Breton/Pics Action/NurPhoto

Girona walio katika nafasi ya pili walifungwa 1-0 na Real Mallorca huku Barca wakitoka sare ya kutofungana na Athletic Bilbao.

Baada ya matokeo hayo Real Madrid sasa wanasalia kileleni wakiwa pointi saba mbele ya Girona.

Vyanzo: DPA/AP/Reuters