1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu zaidi kuhusu sarafu za kidijitali

11 Aprili 2024

Kuna msisimko mkubwa miongoni mwa vijana kuhusu fursa za kazi mtandaoni, zinazojumuisha sarafu za kidijitali, zikiahidi tija ya haraka na malipo makubwa, lakini nyuma ya pazia hili la kuvutia, kuna changamoto kubwa zinazowosubiri. Fathiya Omar anasema kazi za mtandaoni zina faida kubwa lakini pia zina athari zake. Zaidi sikiliza Makala hii ya vijana tugutuke.

https://p.dw.com/p/4eenj