1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raha na karaha za kutafsiri: Mfano wa 'Amezidi'

28 Machi 2014

Wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu nchini Marekani, Sara Weschler na Niwaeli Kimambo, wameitafsiri tamthilia 'Amezidi' iliyoandikwa na Dk. Said Ahmed Mohamed kwa lugha ya Kiswahili na kuiandika kwa Kiingereza.

https://p.dw.com/p/1BXpO
Niwaeli Kimambo (kushoto), Dk. Said Ahmed Mohamed (katikati) na Sara Weschler katika picha ya pamoja kwenye Chuo Kikuu cha Bayreuth.
Niwaeli Kimambo (kushoto), Dk. Said Ahmed Mohamed (katikati) na Sara Weschler katika picha ya pamoja kwenye Chuo Kikuu cha Bayreuth.Picha: DW/M. Khelef

Mohammed Khelef anazungumza na Sara na Niwaeli juu ya tafsiri yao na kilichowasukuma kuifasiri kazi hiyo kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza.