1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 03.05.2015

SK2 / S02S3 Mei 2015

Tulionayo katika matangazo ya jioni jioni// Muungano wa Saudi Arabia wakanusha kupeleka vikosi vya ardhini kupambana na waasi wa Houthi Yemen// Kiongozi wa Madagascar Hery Rajaonarimampianina kuondowa kifungo cha nyumbani kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo//leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Shirika la UNESCO lammpa tuzo muandishi habari Mazen Darwish aliye kizuizini Syria.

https://p.dw.com/p/1FJRj