1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Mwanamuziki Koffi Olomidé ahukumiwa kifungo cha miezi mitatu

16 Agosti 2012

Mahakama ya mjini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu kifungo cha miezi 3 jela mwanamuziki mashuhuri Koffi Olomidé kwa kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa umma.

https://p.dw.com/p/15qot
Mji wa Kinshasa,DRC
Mji wa Kinshasa,DRCPicha: Creative Commons/Moyogo

Koffi Olomide alikamatwa hapo jana baada ya kumrushia ngumi na kumuumiza meneja wake wa muziki. Olomidé ambaye alijipatia sifa kutokana na muziki wa rumba,amewahuzunisha wakongo wengi kufuatia kitendo chake hicho. Saleh Mwanamilongo amekuwa akifuatilia tukio hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman