Uchafuzi wa mazingira unatishia sio tu usalama wa afya kwa wakati tulionao, bali pia mustakabali wa sayari ya dunia kwa miaka ijayo, ambapo kizazi kijacho kitajikuta kimekosa mahala salama pa kuendeshea maisha yao.
Baraza la Mtihani la Taifa nchini Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka jana.
Kila mwaka siku kama ya leo, dunia nzima inaungana pamoja katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga vitendo vya ukeketaji dhidi ya wanawake.
Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 164, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ya kukabiliana na viwango vya baridi ambavyo vimevunja rekodi barani Ulaya.
Kuanzia Jumatatu ya Februari 6, 2012, Deutsche Welle inajitokeza kwa sura mpya katika mtandao kwa kutumia anuani mpya ya www.dw.de; ruwaza mpya na matangazo ya TV yaliyofanyiwa marekebisho makubwa.
Sikiliza makala ya Afrika Wiki Hii na Mohammed Abdulrahman.
Idhaa yako ya Kiswahili ya DW inakupa fursa ya kupanda jukwaani kusema uliyonayo na ambayo ungelipenda ulimwengu uyasikiye, yawe ni masuala ya kisiasa, kijamii, kitamaduni au hata ya kifamilia.
Fuatilia michezo ya kuigiza kwa vijana kupitia DW ujuwe maisha ya kila siku barani Afrika.
Tembelea DW katika Facebook
Tembelea DW katika Twitter
Kipi kinachowafanya mamilioni ya watu kuhama makwao na kukimbilia ugenini?