1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2015: Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S2 Mei 2015

Yaliyomo: Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema nchi yake haiwezi kusahau kiurahisi tu yaliyofanywa wakati wa utawala wa Kinazi. Mwanamfalme wa Uingeraza William na mkewe, Kate Middleton, wamepata mtoto wao wa pili. Na serikali ya Burundi imeapa kupambana na waandamanaji wa kisiasa, ikiutuhumu upinzani na makundi ya kiraia kwa kufanya maandamano chini ya mwamvuli wa kigaidi.

https://p.dw.com/p/1FJAd