1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Ban Ki Moon Pembe ya Afrika

30 Oktoba 2014

Mataifa ya eneo la Pembe ya Afrika yatapata msaada wa jumla wa Dola Bilioni 8.3 kusaidia mikakati ya kuleta amani na maendeleo katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/1DeKt
Picha: DW/G.T. Haile-Giorgis

Ahadi hiyo imetolewa na Umoja wa Mataifa, Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo Barani Afrika na mashirika mengine ya kifedha wakati wa ziara ya wiki moja ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon katika eneo hilo, ambapo baada ya kuzizuru Ethiopia na Somalia sasa yuko nchini Kenya. Mwandishi wetu mjini Nairobi Alfred Kiti na taarifa zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi