1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyuo Vikuu Tanzania vyapiga marufuku nguo zisizo maadili

George, Stumai/mmt13 Novemba 2013

Baadhi ya taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania zimepiga marufuku mavazi yaliyo kinyume na maadili ya kijamii kwenye maeneo vya taasisi hizo katika jitihada za kuzuia mmomonyoko wa maadili.

https://p.dw.com/p/1AGKc

Katika kipindi hiki cha Vijana Tugutuke, Stumai George anajadiliana na vijana juu ya marufuku hiyo iliyowekwa na vyuo vya elimu ya juu, kukubalika na kukatalika kwake miongoni mwa rika la vijana na athari za mavazi hayo kwa mustakabali wa taifa.

Kusikiliza majadiliano haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Stumai George
Mhariri: Josephat Charo