1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'Usanifu' wa Kiswahili Sanifu

28 Machi 2014

Moja ya mambo ambayo yanawagonganisha wataalamu wa lugha ya Kiswahili ni dhana ya Kiswahili Sanifu, na suali linaloulizwa ni ikiwa kweli kuna Kiswahili Sanifu na au inawezekana kukawa kweli kukawa na usanifu wa lugha.

https://p.dw.com/p/1BXpy
Mjadala wa Kiswahili Kina Wenyewe katika Chuo Kikuu cha Bayreuth.
Mjadala wa Kiswahili Kina Wenyewe katika Chuo Kikuu cha Bayreuth.Picha: DW/M. Khelef

Katika sehemu hii ya makala ya Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na wataalamu wa lugha ya Kiswahili, Dk. Said Ahmed Mohamed, Abdilatif Abdullah, Reginald Temu na Assibi Amidou juu ya dhana ya Kiswahili Sanifu.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi