1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UKAWA: 2014 ulikuwa mwaka wa kusalitiwa

Mohammed Khelef30 Desemba 2014

Muungano wa vyama vya siasa unaojitambuliwa kama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) nchini Tanzania unasema kwamba mwaka 2014 ulikuwa mwaka ambapo taasisi za utawala ziliusaliti umma.

https://p.dw.com/p/1ECid
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na pia mmoja wa viongozi wa UKAWA, James Mbatia.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na pia mmoja wa viongozi wa UKAWA, James Mbatia.Picha: DW/M.Khelef

Katika mahojiano haya ya Kinagaubaga, James Mbatia, ambaye ni mmoja wa wenyeviti wa UKAWA, anasema mitikisiko ya kisiasa ikiwemo ya Bunge Maalum la Katiba na pia kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow imedhihirisha kwamba Chama tawala cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya kujenga taifa kwa misingi ya maridhiano na umoja.

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo