1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufundishaji wa Kiswahili barani Ulaya

28 Machi 2014

Vyuo vikuu kadhaa barani Ulaya vinafundisha Kiswahili kama sehemu ya masomo yake na kutoa shahada za ngazi mbalimbali kwa wahitimu wa lugha hii yenye chimbuko lake kwenye upwa wa mashariki ya Afrika.

https://p.dw.com/p/1BY2l
Mwalimu Reginald Temu wa Chuo Kikuu cha Munich.
Mwalimu Reginald Temu wa Chuo Kikuu cha Munich.Picha: DW/M. Khelef

Mohammed Khelef anazungumza na walimu wa lugha ya Kiswahili barani Ulaya, Profesa Assibi Amidou anayefundisha nchini Norway, Abdilatif Abdullah aliyekuwa akifundisha Chuo Kikuu cha Leipzig cha Ujerumani, Profesa Said Ahmed Mohamed, na Mwalimu Reginald Temu wa Chuo Kikuu cha Munich, katika sehemu ya pili ya mada ya ufundishaji wa Kiswahili barani Ulaya.

Kusikiliza mazungumzo haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi