1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Wajumbe wa UKAWA wasusia kikao bungeni

17 Aprili 2014

Matumaini ya kupatikana katiba mpya nchini Tanzania yameelezwa kuwa ni madogo kutokana na mvutano uliopo baina ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini Dodoma.

https://p.dw.com/p/1Bk26

Hali hii ilisababisha hapo jana wajumbe wa umoja wa UKAWA ambao wengi wao ni kutoka vyama vya upinzani kususia kikao cha bunge. Anuary Mkama amezungumza na Professa mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chris Maina Peter ambaye kwanza anazungumzia tukio la jana. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Anuary Mkama
Mhariri: Josephat Charo