1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kazi ya kuandika Katiba yaanza leo

16 Septemba 2014

Kazi ya kuandika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza rasimi leo baada ya kumazilika kwa hatua ya wabunge kutoa michango yao hapo jana.

https://p.dw.com/p/1DCsl
Picha: Reuters

Kazi hiyo itakuwa ikitekelezwa na kamati ya kanuni ya bunge la katiba kabla kufuatiwa na hatua nyingine. Sudi Mnette amezungumza na mmoja kati ya wajumbe wa bunge hilo, Salma Said ambapo kwanza alitaka kujua pamoja na kasoro zilizokuwa zikijitokeza katika mchakato huo na hasa tafrani ya jana katika michango wa baadhi ya wabunge kitaka suala la muungano, hali jumla ikoje? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman