1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazanzibari watilia shaka Muungano

26 Oktoba 2016

Wazanzibari wapatao 40,000 wanaripotiwa kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki wakihoji uhalali wa Muungano wa mwaka 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania.

https://p.dw.com/p/2Rk1G
Bendera ya Tanzani
Bendera ya TanzaniaPicha: DW/M. Khelef

J3 2610 Zanzibar-Union Petition - MP3-Stereo

DW imezungumza na mmoja wa wawakilishi wa walalamikaji kwenye shauri hilo, Rashid Salim Adiy, kutaka kuujuwa undani wa madai yao.