1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Wakristo wafanya harambee kujenga msikiti

Elizabeth Shoo27 Aprili 2016

Wakristo wa kijiji cha Namayiga nchini Uganda wameamua kuchanga pesa kusaidia wenzao wa dini ya Kiislamu kupata mahali pa kuabudu. Hizo ni juhudi za kuleta maendeleo bila kujali tofauti za dini.

https://p.dw.com/p/1IdVH
Msikiti kijijini Namayiga, Uganda
Picha: DW/E. Lubega

[No title]

Waumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini Namayiga
Waumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini NamayigaPicha: DW/E. Lubega
Waumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujenga
Waumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujengaPicha: DW/E. Lubega
Wakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpya
Wakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpyaPicha: DW/E. Lubega