1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z'bar haitakufa - Moyo

Mohammed Khelef21 Aprili 2015

Katika mahojiano haya ya Kinagaubaga, Mzee Hassan Nassor Moyo, mwasisi wa chama cha Afro-Shirazi Zanzibar na baadaye CCM Tanzania, Muungano na mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano anazungumzia kufukuzwa kwake CCM na hatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/1FBf5