1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais akabidhiwa mapendekeo ya katiba

Admin.WagnerD9 Oktoba 2014

Rasimu mpya ya katiba imewasilishwa rasmi kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete jana.

https://p.dw.com/p/1DSRv
Kikwete Shein Tansania Präsident
Marais Kikwete na SheinPicha: Mwanzo Millinga/AFP/Getty Images

Katika hotuba yake amewataka wale ambao mawazo yao hayakujumuishwa katika katiba hiyo wawe wavumilivu. Sekione Kitojo amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania Ali Saleh, ambaye kwanza alitaka kujua hotuba hiyo imepokelewaje na wananchi ikitiliwa maana kuwa hotuba yake ya kwanza katika kuzindua bunge la katiba ililalamikiwa kuwa imesababisha kuligawa bunge hilo. Kusiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sekione Kitojo / Interview
Mhariri:Josephat Charo