Ni kweli kizazi kipya kina utamaduni?
Matangazo
Katika makala hii ya utamaduni na sanaa, Diana Kago anaangalia jitihada za kuurithisha na kuudumisha utamaduni wa Kitanzania kwa watoto wa nchi hiyo kupitia mitaala ya elimu na anahoji ikiwa ni sahihi kusema kuwa utamaduni fulani unakufa au unavunjwa.
Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Diana Kago
Mhariri: Josephat Charo