1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Maji wafanyika mjini Kampala

23 Julai 2014

Mabadiliko ya tabia nchi yazidisha tatizo la upatikanaji maji safi na salama kwa idadi kubwa ya watu barani Afrika.

https://p.dw.com/p/1CgzZ
Picha: dpa - Bildfunk

Wataalam husika kutoka bara hilo wameanza kujadili teknolojia zitakazochangia katika kukabiliana na hali hii wakizingatia hasa zile za gharama nafuu ambazo jamii za vijijini zaweza kukidhi. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel ametuandalia ripoti ifuatayo kuhusu mkutano wa wataalamu wa maji kutoka nchi za kiafrika unaofanyika mjini Kampala, Uganda. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishii: Lubega Emmanuel

Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi