1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchungaji Mtikila na Bunge la Katiba Tanzania

26 Februari 2014

Watanzania wanangojea kwa hamu Bunge la Katiba lilioanza vikao vyake katikakati ya mwezi Februari 2014 kuwaletea katiba mpya na bora, lakini baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wana mashaka nalo.

https://p.dw.com/p/1BFSS
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.Picha: dapd

Katika mahojiano haya maalum ya Kinagaubaga, Mohamed Abdulrahman anazungumza na Mchungaji Christopher Mtikila, ambaye ni mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) nchiini Tanzania na pia mjumbe wa Bunge la Katiba, ambapo mwanasiasa huyo anaonesha wasiwasi wake wa ikiwa bunge hilo litafanikiwa.

Kusikiliza mahojiano haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini kusikiliza mahojiano yote.

Mahojiano: Mohamed Abdu-Rahman/Mchungaji Mtikila
Mhariri: Mohammed Khelef