1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi ya Zanzibar yatimiza miaka 50

10 Februari 2014

Mwaka huu visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha miaka 50 tangu kufanyika kwa Mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964, huku vikiwa na mengi ya kujivunia, kujifunza na changamoto kubwa mbele yake.

https://p.dw.com/p/1B5zh
Vijana wa Zanzibar wakiwa ufukweni.
Vijana wa Zanzibar wakiwa ufukweni.Picha: Gabriel Bouys/AFP/Getty Images

Katika makala haya ya Maoni, Mohamed Abdul-Rahman anawakusanya wataalamu na wanahistoria wa Zanzibar kujadiliana miaka 50 ya Mapinduzi.

Kusikiliza makala haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohamed Abdulrahman
Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi