1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya "Imetosha" kweli yatosha kuwakinga albino?

Salma Mkalibala31 Machi 2015

Miongoni mwa kampeni zilizoanzishwa kupambana na mauaji na mateso dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania ni ile iliyoasisiwa na mwandishi wa habari Henry Mdimu iitwayo "Imetosha".

https://p.dw.com/p/1Ezx0
Hali ya usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania bado haijawa nzuri.
Hali ya usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania bado haijawa nzuri.Picha: picture-alliance/CTK/T. Junek

Katika mahojiano haya, Salma Mkalibala anazungumza na Mdimu juu ya ufanisi wa kampeni yake na namna ambavyo inakabiliana na uhalisia uliopo.

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef