1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, katiba mpya ipo Tanzania?

30 Machi 2014

Licha ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba kuendelea nchini Tanzania, suali hasa linalouzwa ni ikiwa kweli katiba hiyo itapatikana.

https://p.dw.com/p/1BYOm
Mwanachama wa CCM Zanzibar.
Mwanachama wa CCM Zanzibar.Picha: picture alliance/dpa

Katika kipindi hiki cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya hatima ya Katiba Mpya nchini Tanzania.

Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.