Ilikuwa siku ya mwisho yenye kizaazaa katika msimu wa kuadhimisha mwaka wa 50 wa Bundesliga wakati vita vya kucheza Ulaya na vita vya kupambana kuepuka kushushwa daraja vikiamuliwa
Zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya Fainali ya kukata na shoka ya Ligi ya Mabingwa Ulaya uwanjani Wembley jijini London, mengi yanaendelea kufanywa ikiwa ni sehemu ya matayarisho ya dimba hilo.
Bayern Munich, walipata kionjo cha kile watakachokishuhudia pale watakaposhinda kombe la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya, wakati maelfu ya mashabiki walipojitokeza kusheherekea taji lao la 23 la Bundesliga
David Moyes amepewa majukumu ya kuwa kocha mpya wa klabu ya Manchester United ya England. Moyes atachukua nafasi ya Sir Alex Ferguson ambaye amewashangaza wengi kwa kutangaza kustaafu kama kocha.
Mkufunzi maarufu sana aliyewahi kupata mafanikio makubwa nchini Uingereza, Sir Alex Ferguson atajiuzulu kama kocha wa klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu wa 2012/2013
Bayern Munich , mabingwa wa Ligi ya Ujerumani, Bundesliga msimu huu, na timu iliyoko katika nafasi ya pili , mabingwa wa zamani Borussia Dortmund wametoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya ligi
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.de.
Washirika Wetu
Pata huduma zetu kupitia za SMS, RSS, Kijarida na huduma nyengine za mtandaoni kutoka DW.
Kijarida cha Deutsche Welle
Unaweza kujiunga moja kwa moja na huduma ya kupokea kijarida cha Deutsche Welle kupitia mtandao kwa kubonyeza hapa na upate taarifa za kila siku.