Vita vinaendelea Syria na mashirika ya misaada yanapata shida kuendeleza shughuli zao hasa katika maeneo yanayodhibitiwa na serikali .Kuna ukosefu wa chakula ,maji na madawa.
Mcheza sinema maarufu wa Kimarekani, Angelina Jolie, ametangaza kwamba amefanyiwa operesheni ya kuondosha matiti yake yote mawili ili kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya maziwa na ya kizazi.
Wanawake watatu wa jimbo la Ohio Marekani wanaoaminika walitekwa nyara muongo mmoja uliopita wamepatikana wakiwa hai kwenye nyumba mmoja ilioko katika mji wa Cleveland karibu na mahala ambapo walionekana mara ya mwisho.
Mshindi wa blogu bora kabisa duniani anatarajiwa kujuilikana leo, baada ya jopo la majaji kwa kushirikiana na watumiaji kufanya maamuzi yao.
Serikali ya Tanzania imetangaza kusahihisha upya kwa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binaadamu jana limeonesha kusikitishwa kwake na vurugu zinazoendelea huko kaskazini-mashariki mwa Nigeria ambazo zimesababisha vifo na kuwaacha raia bila makazi
Ujerumani imenusurika na mgogoro wa kiuchumi hadi sasa-na hilo linalihusu pia soko la ajira.Hata hivyo jamii imegawika nchini Ujerumani.
Umoja wa mataifa umeanzisha mkakati wa kuokoa maisha ya watoto wapatao milion mbili ambao hupoteza maisha yao kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa ya mapafu na magonjwa ya kuharisha.
Fuatilia michezo ya kuigiza kwa vijana kupitia DW ujuwe maisha ya kila siku barani Afrika.
Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka limeitaja Somalia kuwa miongoni mwa mataifa mabaya kabisa kwa mtu kuwa mwandishi wa habari, ambapo mwaka 2012 uliitwa kuwa mwaka wa kifo kutokana na waandishi wengi kuuawa.
Kuwa shabiki wetu kwenye Facebook, tuchangiane mawazo.
Tembelea DW katika Twitter
Wasiliana Nasi