1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Falsafa kwenye maandishi ya Kezilahabi

28 Machi 2014

Miongoni mwa waandishi wakubwa wa zama zetu kwenye fasihi ya Kiswahili ni Euphrase Kezilahabi ambaye aina yake ya uandishi inatajwa kuleta mapinduzi makubwa kwenye uandishi wa fasihi ya Kiswahili.

https://p.dw.com/p/1BXw4
Roberto Gaudioso wa Chuo Kikuu cha Napolitano, Italia, akizungumzia falsafa ya maandishi ya Kezilahabi.
Roberto Gaudioso wa Chuo Kikuu cha Napolitano, Italia, akizungumzia falsafa ya maandishi ya Kezilahabi.Picha: DW/M. Khelef

Katika mahojiano haya ya Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na Roberto Gaudioso ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamifu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Napolitano, Italia, na ambaye anasomea Fasihi Linganishi na kazi za Kezilahabi ni miongoni mwa sehemu ya utafiti wake.

Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.