1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Uchaguzi wa baraza la seneti wafanyika leo Burundi

Vyama vya upinzani havijabanduka ktuoaka msimamo wake wa kugomea chaguzi kwa madai kwamba serikali inafanya mizengwe katika chaguzi

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza

Uchaguzi wa seneti unafanyika leo nchini Burundi, licha ya vyama vya upinzani vikiususia huku vikilalamika juu ya udanganyifu kutoka kwa serikali. Hapo jana tume ya uchaguzi nchini humo ilitangaza kwamba chama tawala cha rais wa sasa Pierre Nkurunziza, CNDD-FDD kilishinda kwa wingi wa kura uchaguzi uliokamilika wa ubunge. Chama hicho kilijinyakulia viti 81 kati ya 106 bungeni.

Mwandishi wetu Hamida Issa ameandaa taarifa ifuatayo.

Mwandishi, Peter Moss

Mhariri, Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Mengi zaidi kutoka kigawe hiki