Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa Afrika Mashariki linalojumuisha wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu kutoka mataifa 195 wanachama wa Umoja wa Mataifa limefunguliwa leo hapa Nairobi.
Jiji la Nairobi kunakofanyika Kongamano la Kielelezo
Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yake ni “kujenga msingi kwa vijana kuwa viongozi wa kesho” linahudhuriwa na wajumbe wapatao 900
Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na Taarifa hiyo.
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Mohamed Abdulrahman