Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.de.
MPYA! Hivi sasa matangazo yetu yanapatikana pia moja kwa moja katika mtandao: saa 12:00 asubuhi , saa 07:00 mchana na saa 12:00 jioni (saa za Afrika Mashariki). Matangazo yote ya Idara ya Kiafrika ya DW (Kiswahili, Kihausa, Kiamharic, Kifaransa, Kireno na Kiingereza) yanaweza kupatikana moja kwa moja kwa wakati wake. Anayesikiliza matangazo hayo anaweza kututumia maoni yake kwa njia ya SMS au kupitia Facebook.