1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yashikilia katiba mpya bila UKAWA

Sudi Mnette27 Agosti 2014

Licha ya Bunge Maalum la Katiba nchini Tanzania kukosolewa kwa kukutana bila uwakilishi wa kundi linalojiita UKAWA, chama tawala CCM kinasema lazima bunge hilo litoke na katiba mpya.

https://p.dw.com/p/1D2fU
Viongozi wanaounda kundi la UKAWA nchini Tanzania.
Viongozi wanaounda kundi la UKAWA nchini Tanzania.Picha: DW/M.Khelef

Katika mahojiano haya maalum na Sudi Mnette, Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye, anatetea msimamo wa chama chake kutaka Bunge Maalum la Katiba liendelee na vikao vyake na hatimaye lipitishe rasimu ya katiba itakayokwenda kwa wananchi kwa ajili ya kura ya maoni.

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef