1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.05.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na: Rais wa Shirikisho la kandanda la Ulaya -UEFA, Michel Platini amemtaka Rais wa FIFA, Sepp Blatter kujiuzulu//Mwendesha mashitaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, Fatou Bensouda amesema hana ushahidi wa kutosha wa kuendelea na kesi dhidi ya Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, na muandishi habari Joshua Arap Sang

https://p.dw.com/p/1FXxZ