1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wabunge Madagascar wataka kumuondoa Rais Madarakani// Vyama vikuu vya upinzani nchini Burundi vimesema kufanyika uchaguzi ulio huru na haki wiki ijayo ni jambo lisilowezekana na kutahadharusha kwamba hawatoyatambua matokeo iwapo uchaguzi huo utafanyika// Polisi wa Uswisi kuwakamata maafisa wakuu wa shirikisho la FIFA katika makao yake makuu mjini Zurich

https://p.dw.com/p/1FXMv