1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2015 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Mei 2015

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Bujumbura- mtaa wa Buyenzi wakaazi wamejiunga na maandamano kwa kuchoma matairi hali ilopelekeya Polisi kufyatuwa risasi nyingi na hivyo mtaa huo kusalia bila uhai// Wakuu wa polisi wa nchi za Uganda na Rwanda wamekubaliana kushirikiana katika kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na machafuko yanayoendelea kwenye eneo la Afrika mashariki

https://p.dw.com/p/1FWnd